Business

header ads

MAANDAMANO YA WANAHABARI IRINGA KUHUSU KUUWAWA KWA MWANAHABARI MWANGOSI

Katibu wa kamati ya mandamano Iringa Daniel Mbega akitoa wito kwa waandishi na kulaani kitendo cha mauaji ya Mpiganaji Mwangosi Mwenyekiti wa kamati ya maandamano Iringa Zulfa Omar akitoa tamko mbele ya wananchi na waandishi wa habari katika eneo la Garden Iringa
Mmoja wa waandishi wa habari Iringa akilia kwa uchungu baada ya kukumbuka kuwa mnamo march mwaka huu Mwenyekiti Mwangosi alisimama hapo kwaajili ya kuwatia motisha waandishi juu ya uhuru wa habari na kusema "hata kama atakufa lakini anaamini kuwa bado wapo wanahabari watakaokuwepo kutetea maslahi ya wote"
Wananchi waliounga mkono wanahabari wakiwa na bango
Eneo la mashine tatu
Mtaa wa mshindo
Wakipita mtaa wa uhindini
Mwandishi wa habari wa startv Malembea akiwa amebeba picha kubwa ya marehemu mwangosi Waandishi wa habari wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali
Waandishi wa Habari Iringa wakijiandaa kuanza maandamano ya amani

Post a Comment

0 Comments