Business

header ads

KAMATI YA VAZI LA TAIFA YAKABIDHI RIPOTI YAKE KWA WAZIRI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akikabidhiwa rasmi Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo imekabidhi rasmi ripoti yake kwa Mhe. Waziri ambapo pamoja na mambo mengine inaainisha mapendekezo mbalimbali ya vitambaa vinavyopendekezwa kuwa Vazi la Taifa.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akionyesha Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa kwa Waandishi wa Habari ( hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ripoti hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo.Picha na Concilia Niyibitanga –Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

Post a Comment

0 Comments