Business

header ads

AIRTEL YADHAMINI MATEMBEZI YA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA SHULE YA SEKONDARI YA SHABAAN ROBER

Mkurugenzi wa fedha wa Airtel Tanzania Kalpesh Mehtal akishiriki katika matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shule ya sekondari Shaaban Robert akipokea maji kutoka kwa wafanyakazi wa Airtel katika kituo kimojawapo cha maji kilichosimamiwa na Airtel, Matembezi hayo yalifanyika siku ya jumapili ambapo Airtel ni moja kati ya wadhamini
Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akigawa maji kwa washiriki zaidi ya 2000 walishiriki katika matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya shule ya sekondari ya Shabaani Robert yaliyofanyika jumapili na kuongozwa na Raisi Mstaafu wa awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi, Airtel ilikuwa ni moja kati ya wadhamini wa maadhimisho hayo

Post a Comment

0 Comments