Business

header ads

Serera arejesha fomu kuwania Ujumbe wa NEC

Suleiman Serera mgombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) TAIFA kupitia Vijana akirejesha fomu za kugombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Mkuu wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya UVCCM Taifa, Sophia Duma. Zoezi la urejeshaji fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za UVCCM ulifikia tamati jana jioni kwa wagombea wote kutakiwa kutejesha fomu zao.

Post a Comment

0 Comments