Business

header ads

RAIS KIKWETE NA FAMILIA YAKE WAHESABIWA KATIKA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete na familia yake akijibu maswali toka kwa karani wa sensa ya watu na makazi Bw. Clement Ngalaba leo Agosti 26, 2012
wakati alipojiunga na mamilioni ya Watanzania katika zoezi hilo lililofanyika kwa mafanikio makubwa nchi nzima.

PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments