Business

header ads

MKUU WA MKOA WA IRINGA AZINDUA WARSHA ELEKEZI KWA WATENDAJI WA WILAYA IRINGA
Mgeni Rasmi mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma ambaye pia ni mwenyekiti wa sensa kimkoa akisoma risala katika ufunguzi wa semina elekezi kwa watendaji kuhusu sensa ya watu na makazi 2012.

Baadhi ya watendaji kutoka katika Wilaya mbalimbali za mkoa wa Iringa wakimsikiliza mgeni rasmi katika uzinduzi wa warsha hiyoMwenyekiti wa wakufunzi toka Taasisi ya Taifa ya takwimu (NBS) Martin Ndamo akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari.

Mratibu wa sensa mkoa wa Iringa Fabian Fundi akiongea na waandishi wa Habari kuhusu umuhimu wao katika kuhamasisha jamii kushiki sensa ifikapo August 26.

Post a Comment

0 Comments